HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 09, 2013

AJALI KIBAMBA DARAJANI: LORI LA MBAO LADONDOKEA MTONI, DEREVA AFARIKI

Baadhi ya wakazi wa Kibamba Darajani wakishuhudia Lori lililopata ajali baada ya kudondokea mtoni na kusababisha kifo cha dereva wake. (Picha zote zimepigwa na Fredy Tony Njeje Blogs za Mikoa)
Eneo la ajali linavyoonekana kwa mbali.
Wananchi na Askari wa Usalama Barabarani wakiwa eneo la ajali kwa ajili ya kutoa msaada.
 Mwili wa dereva aliyefariki katika ajali hiyo ukiwa umekandamizwa na Lori lililobeba mbao hizo.
 Hiki ni kiatu kilichovaliwa na dereva. Hapa mguu wake ukiwa umekandamizwa na gari hilo.
Mwili wa dereva ukiwa umekandamizwa vibaya na lori baada ya ajali hiyo mbaya.
 Hivi ndivyo lori lililobeba mbao linavyoonekana baada ya kuanguka chini ya daraja la Kibamba.

No comments:

Post a Comment

Pages