HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 15, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA MEJA GENERALI MAKAME RASHID LEO

 Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, (CGP) John Minja (kulia)
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkuu wa Majeshi (CDF), Davis Mwamunyange.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

 Mkuu wa Majeshi nchini (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwafariji wafiwa.

Rais mstaafu, Benjamini Mkapa akitoa heshima za mwisho.

No comments:

Post a Comment

Pages