HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 13, 2014

AJALI YA BASI LA SMART YAUA WATU 2 
Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo. Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera. PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG 

No comments:

Post a Comment

Pages