HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 16, 2014


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Bibi, Zenita Mkaawima, alipotembelea nyumbani kwa Wazazi wa waziri Mkuu huyo, Kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele mkoani Katavi, leo


 Mdogo wa Waziri Mkuu Mizengo Pinga, Wofgaga Pinda, akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili nyumbani kwa wazazi wa Waziri Mkuu, katika kijiji cha Kibaoni, mkoani Katavi. 


 Kinana akiwa katika mazungumzo na Mama wa Waziri Mkuu, na mdogo wa waziri huyo mkuu, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye


 Kinana na Nape na Balozi Ali Karume (wapili kulia) wakiwa  katika picha ya pamoja na mama mzazi wa Waziri Mkuu, wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa Mama huyo, Kibaoni mkoani Katavi.


 Kinana akiagana na mama wa waziri


 Nape akimfurahia mtoto aliyemtania kwa jina la Pinda, yeye na Kinana walipotembelea nyumbani kwa wazazi wa Waziri Mkuu Mizengo pinda leo



 Kinana akikagua tanki la mradi wa maji wa  Kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi


 Kinana akiwatuza wasanii waliotumbuiza baada ya kuwasili katika kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi.



 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua mashine ya kukoboa mpunga katika Kata ya Majimoto, mkoani Katavi.


 Nape akishiriki ujenzi wa shule ya msingi Majimoto, leo.


 Kinana akishirikiana na wananchi wengine kusogeza matofali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Majimoto mkoani Katavi Katibu Mkuu wa CCM 


Abdulahman Kinana akibeba zege wakati akishiriki ujenzi wa shule ya Majimoto wilayani Mpanda mkoa wa Katavi. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

Pages