HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 22, 2014

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MC KAVEMBA
 MC Frank Kavemba enzi za uhai wake. (Picha na Francis Dande)
 Baadhi ya waombolezaji wakati wa mazishi ya MC Kavemba.
  Waombolezaji wakiwasili makaburini.
 Baadhi ya waombolezajio wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa muasisi wa Chama cha Washereheshaji (SAA), MC Frank Kavemba wakati wa mazishio yake katika m,akaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam juzi.
 Mwili ukiwasili makaburini.
 Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini.
 Mke wa marehemu akiweka udongo katika kaburi la marehemu Frank.
 Watoto wa marehemu wakiweka udongo.
 Jeneza likiwa kaburini.
 Padri Likoko akiweka ishara ya msalaba katika kaburi la marehemu.
 Msalaba ukiwerkwa katika kaburi la marehemu.
 Padri akitoa mahubiri wakatai wa mazishi.
 MC Robert Duvii (kulia), mstari wa nyuma akiwa na MC Dk. Cheni pamoja na MC Papaa. 
 Mke wa marehemu akiweka shada la maua.
 Mke wa marehemu akiweka maua katika kaburi la mume wake.
 Baba wa marehemu akiweka shada la maua.
 Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua.
 MC Duvii akiwerka shada la maua.
 Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo akiweka shada la maua
 Familia ya marehemu Kavemba.
Safari ya mwisho ya MC Frank Kavemba.

No comments:

Post a Comment

Pages