HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 19, 2014

MWIMBAJI WA KIMATAIFA WA NYIMBO ZA INJILI KEKE LETSO PHOOFOLO AWASILI DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Alex Msama akipeana mkono na mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini, Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya tamasha la Pasaka litakaloanza kutimua vumbi kwenye Uwanja wa taifa leo. (Na Mpiga Picha Wetu)
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia), akiwa na mwimbaji wa Kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini, Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya tamasha la Pasaka litakaloanza kutimua vumbi kwenye Uwanja wa taifa Jumapili. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Alex Msama akipeana mkono na mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika ya Kusini, Kekeletso Phoofolo mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Pasaka litakaloanza kutimua vumbi Jumapili kwenye Uwanja.  
Mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini, Kekeletso Phoofolo (kushoto), akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Pasaka.
 Kekeletso Phoofolo akisalimiana na mke wa Msama.
 Kekeletso Phoofolo akisalimiana na mke wa Msama.
 Mwimbaji wa Kimataifa kutoka Afrika Kusini, Keke Letso Phoofolo (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promosheni, Alex Msama (kulia).
  Mwimbaji wa Kimataifa kutoka Afrika Kusini, Keke Letso Phoofolo akiwa katika picha ya pamoja na waimbaji wake pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msam,a Promosheni, Alex Msama (kulia).
Waimbaji wa nyimbo za injili wakiwa katika picha ya pamoja pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promosheni, Alex Msama. (wa nne kulia).
 Mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini, Kekeletso Phoofolo (kushoto), akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Pasaka.
Baadhi ya waimbaji wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages