HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2014

TAMASHA LA CHEKA BOMBASTIK LAFANYIKA COCO BEACH
Msanii akionesha manjonjo yake wakati akicheza na baiskeli wakati wa tamasha la Cheka Bombastik na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. (Picha na John Dande)
Kuonesha ufundi wa kucheza na baiskeli.
Baadhi ya wakazi wa maeneo tofauti ya jiji Dar es Salaam wakiogelea katika ufukwe wa Coco Beach.
Tunaogelea...................
Umati wa watu ukiwa katika ufukwe wa Coco Beach. 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya akifanya vitu vyake wakati wa tamasha la Cheka Bombastik lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages