HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2014

MABEHEWA 25 YA KUIMARISHA RELI YA KATI YAWASILI KUTOKA INDIA

Moja ya mabehewa ya kubebea kokoto zitakazotumika kwa ajili ya kuimarisha reli ya Kati ikishushwa kutoka katika meli ilipowasili katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka India. Jumla ya mabehewa 25 tayari yamewasili ambapo thamani yake ni zaidi ya bilioni 4. (Picha na Mika Ndaba)  
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuwasili kwa mabehewa 25 ya kuimarisha reli.
  Ephraim Joel akirekebisha behewa.

No comments:

Post a Comment

Pages