HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 26, 2014

Rais Dk.Shein Afurtarisha Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi  katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
 Akina mama wa  Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika  viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.
 Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na weke wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Sheinkwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
 Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.
 Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.
Waziri wa   nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame,akitoa shukurani kwa wananchi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa kushiriki   katika futari iliyoandalia kwa wananchi hao wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar,
  Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shei, akiagana na   Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume,baada ya kumalizika kwa futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba  Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa futari aliyowaandalia wananchi wa   Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja jana  katika viwanja vya Ikulu  Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na wananchi mbali mbali waliohudhuria katika fuatri aliyowandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika  viwanja vya  Ikulu  Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Akina mama wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana baada ya kumalizika futari aliyowaandalia   katika  viwanja vya  Ikulu  Mjini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

Pages