HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 19, 2014

SERENGETI BOYS YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA AFRIKA KUSINI

 Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Baraka Yusuf akimtoka  beki wa Afrika Kusini, Keanu Cupido katika mchezo kuwania kufuzu kucheza hatua za matundi Fainali za Afrika wa vijana, uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Timu hizo zitoka sare ya 0-0. (Picha zote na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Athanas Mdamu akimtoka  beki wa Afrika Kusini, Notha Nigcobo  katika mchezo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa pembeni wa Serengeti Boys, Abdul Bitebo akiwatoba wachezaji wa Afrika Kusini, Keanu Cupido na Katego Moahamme.
 wa Serengeti Boys, Athanas Mdamu akiwatoba mabeki  wa Afrika Kusini.
 Wachezaji wa timu zote mbili wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo.
 Wachezaji wa Serengeti Boys wakisalimiana na wenzao wa Afrika Kusini.
 Kikosi cha timu ya Afrika Kusini.
 Kikosi cha Serengeti Boys.
 Waamuzi wa mchezo huo wakiwa katikapicha ya pamoja na manahodha.
 
Mchezaji wa afrika Kusini akimiliki mpira.
 Benchi la ufundi la Serengeti Boys.
 Benchi la ufundi la Afrika Kusinu.

 Brass Band ya Polisi akiimba nyimbo ya Taifa ya Afrika kusini. 
 Wachezaji wa Serengeti Boys wakifanya mazoezi mepesi.

No comments:

Post a Comment

Pages