HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 29, 2014

WAISLAMU WATAKIWA KUSHIKAMANA NA WAUMINI WA DINI ZOTE

 Waumini wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa kwenye ibada ya swala ya Idd el Fitry kwenye uwanja wa sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha.
 Sheikh wa mkoa wa Arusha Shaban bin Jumaa akitoa hutuba ya Idd kwa waumini wa dini ya kiislamu na kuwataka kudumisha amani na mshikamano miongoni mwa waumini wa dini nyingine ilikuweka katika hali ya utlivu mkoa wa Arusha ilikuweza kujiletea maendeleo endelevu kama mafungisho ya dini yanavyowataka. (Picha zote na Mahmoud Ahmad wa Blog ya Jamii Arusha)

No comments:

Post a Comment

Pages