HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 28, 2014

EMMANUEL OKWI ATUA MSIMBAZI BAADA YA MKATABA WAKE NA YANGA KUVUNJWA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Hans Pope (kulia), akiwa na mshambuliaji raia wa Uganda, Emmanuel Okwi aliyejiunga na klabu hiyo akitokea katika timu ya Yanga baada ya kuvunjwa mkataba wake. Hata hivyo Yanga imemshtaki Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania.
 Emmanuel Okwi akiwa ameshika jezi namba 25 wakati akitambulishwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, jezi hiyo alikuwa akiitumia wakati akiichezea timu hiyo kabla ya kuuzwa kwa klabu ya Etloile Du Sahel ya Tunisia.

No comments:

Post a Comment

Pages