HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 14, 2014

PHIRI AANZA KUWANOA WACHEZAJI-SIMBA

Kocha wa Simba, Patrick Phiri akizungumza na wachezaji wa timu yake kabla ya kuanza kwa mazoezi kwenye Uwanja wa Bunju Ununio jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 wAWachezaji wa Simba, wakimsikiliza kocha wao, Patrick Phiri akizungumza na wachezaji wa timu yake kabla ya kuanza kwa mazoezi kwenye Uwanja wa Bunju Ununi.
Hapa ni kazi tu......sawa?

No comments:

Post a Comment

Pages