HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 16, 2014

WAMAHIAJI HARAMU 21 WAKAMATWA NJOMBE WAKIPENYA KWENDA NCHI ZA KUSINI MWA TANZANIA

Hawa ni raia wa Ethiopia ambao walikamatwa  Makambako  Njombe.
hapa  wakipata  chai  baada ya kukamatwa
Hivi  ndivyo  walivyokuwa  wakiishi katika  lori  hilo
Hili  ndilo  lori  lililokuwa  likiwasafirisha na  dereva  wake  kukimbia
Ofisa uhamiaji  Njombe  akiwapa  chai wahamiaji hao

No comments:

Post a Comment

Pages