HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 21, 2014

COASTAL UNION YAIVIMBIA SIMBA, YATOKA SARE YA 2-2

Beki wa Simba, Mohamed Hussein (kulia) akichuana na Seleman Rajab. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
Emmanuel Okwi akiwania mpira na beki wa Coastal Union.
 Umati wa mashabiki waliofika uwanja wa Taifa.
 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Coast Union, Abdallah Mfuko.
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akiruka daruga la beki wa Coast Union. 
 Amis Tambwe akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Coastal Union.
Hatari katika lango la Coast Union.
Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Coastal Union.
 Kikosi cha Simba.
 Kikosi cha Coastal Union.
 Golikipa wa Coastal Union ya Tanga, Shaban Kado akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Wachezaji wa Coastal Union wakitoka mapumziko.

Wachezaji wa Simba wakitoka mapumziko.
 Benchi la ufundi la Coastal Union.
 Manahodha wa Simba na Coastal Union wakiwa katika picha ya pamoja.
Benchi la ufundi la Simba likiongozwa na Patrick Phil.
Kikundi cha New Mapambano kikitumbuiza wakati Simba ikipambana na Coastal Union.
 Mashabiki wa Simba wakiwa na uzi wa Simba.
 Mashabiki wa Simba wakiishangilia timu yao.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo kabla Coastal Union kusawazisha.
Mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe akiifungia timu yake bao la pili wakati timu hiyo ilipopambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.

No comments:

Post a Comment

Pages