HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 25, 2014

KINANA ASHIRIKI KILIMO KOROGWE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichanyata shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya ya  Korogwe Mjini, mkoani Tanga. Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichanyata shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya ya  Korogwe.

No comments:

Post a Comment

Pages