HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 29, 2014

MKE WA WAZIRI MKUU MAMA TUNU PINDA AMEWAOMBA WATANZANIA KUWA NA MOYO WA KUJITOLEA KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akipokea dola elfu moja kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa kama mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la kiinjili Moroviani Tanzania(KKMT)  mburahati jijini Dar es salaam kulia ni Askofu David Martin Mwalyambile wa kanisa hilo Mama Pinda alikuwa mgeni rasimi katika kuendesha harambee ya kuchangia  ujenzi wa Kanisa hilo ambapo ziliweza kupatikana kiasi cha shilingi milioni miamoja na ishirini nanane. ( Picha na Chris Mfinanga)
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akimshukuru mtoto Cecylia Mashaka Mwaisaka mwenye umri wa miaka mitatu kwakuchangia shilingi elfu ishirinikama mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Moroviani  mburahati jijini Dar es salaam Mama Pinda alikuwa mgeni rasimi katika kuendesha harambee ya kuchangia  ujenzi wa Kanisa hilo ambapo ziliweza kupatikana kiasi cha shilingi milioni miamoja na ishirini nanan.
Kwaya ya kanisa la Moroviani Mburahati ikitumbuiza katika sherehe ya kuchangia ujenzi wa Kanisa lao. (Picha na Chris Mfinanga)

No comments:

Post a Comment

Pages