HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 29, 2014

PAMBANOLA MBEYA CITY NA COASTAL UNION KATIKA PICHA

Beki wa timu ya Soka ya Coast Union ya Tanga (kushoto) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Mbeya City, Deusi Kasekae asilete madhara lango mwa timu yake,wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ulipigwa katika dimba la Sokoini jiji Mbeyaa na kumalizika kwa Mbeya City kuibuka na ushindi wa bao 1-0. (Picha na Kenneth Ngelesi)
Beki wa timu ya Soka ya Coast Union ya Tanga (kushoto) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Mbeya City, Deusi Kasekae asilete madhara lango mwa timu yake,wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ulipigwa katika dimba la Sokoini jiji Mbeyaa na kumalizika kwa Mbeya City kuibuka na bao 1-0 (Picha na Kenneth Ngelesi)
Wapenzi na mashabiki wa Mbeya City,wakishangalia timu yao ilipo kuwa ikimenyana na timu ya Soka ya Coast Union ya Tanga mchezo ligii kuu uliopigwa mwishoni wiki katika dimba la Sokoine na kumalizika kwa Mbeya City kuibuka na ushindi wa bao1-0 (Picha na Kenneth Ngelesi)

No comments:

Post a Comment

Pages