HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 27, 2014

POLISI MORO YAIVUTA MKIA SIMBA YATOKA NAYO SARE 1-1

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Emmanuel Okwi (katikati) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande)
 Okwi akiwa amembeba Ramadhani Singao 'messi' baada ya kuifungia timu yake bao la kuongoza.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa. Kushoto ni 'Ramadhani Singano Messi'
Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Francis Dande)
 Okwi akiipangua ngome ya Polisi Moro.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Polisi Morogoro, Lulanga Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi Morogoro,  Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu hiyo, Abdul Ibad  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi Morogoro,  Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu hiyo, Abdul Ibad  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Kipa wa Polisi Moro, Abdul Ibad akipata matibabu baada ya kuumia.
 Kikosi cha Polisi Morogoro.
Kikosi cha Simba.

No comments:

Post a Comment

Pages