HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 14, 2014

YANGA YAIBAMIZA AZAM FC 3-0

Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka  beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0.
  Ngasa akimiliki mpira.
 Mashabiki wa Yanga.
 Kocha wa Azam, Joseph Omog akisalimia na mwenzake wa Yanga, Marcio Maximo.
 Mshambuliaji wa Yanga kutoka Brazil, Jaja akimtoka beki wa Azam, David Mwantika
Mambo yanapokuwa magumu, shabiki wa azam akiwasiliana kwa simu baada ya jahazi lao kuzama.
Kikosi kamili cha Yanga kilichoifunga Azam FC 3-0 katika mchezo wa Ngao ya Hisani leo.
Kikosi cha Azam FC.

No comments:

Post a Comment

Pages