HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 23, 2014

Tabata yaingia fainali ya mkichuano ya Dk. Mwaka baada ya kuichapa Black Six 1-0

Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR. MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imepigwa kwenye Uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kati ya Tabata FC na Black Six, mchezo ulimalizika kwa Tabata kushinda bao 1-0 na kukata tiketi ya kucheza fainali hapo tarehe 29/11/2014 kwenye uwanja huo huo wa Bandari. mchezo huo uliweka rekodi ya mashindano ya NDONDO kwa kuhudhuliwa na mashabiki wengi.10553574_836086276455319_1176921432347220072_n Mashabiki wa BLACK SIX ya Buguruni.......... 1524680_836086256455321_7417674193230448689_n 1525524_836086199788660_6700093270394678514_n 1544973_836086223121991_5568385013137637331_n SSSS 1960140_836086329788647_6126915949753505475_n Mshambuliaji wa YANGA Jerry Tegete alikuwa anaongoza mashambulizi ya timu yake ya nyumbani TABATA FC....... 10350425_836086403121973_4713464705511470346_n SSSSMkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba,Fauzia Abdi pamoja Ibrahim Masoud 'Maestro' walikuwepo kushuhudia mpambano huo..... 10382399_836086466455300_4570599094018049969_o SSS 10406884_836086093122004_4566043938806012509_n 10407158_836086103122003_8164798938417842965_n Kutoka kushoto ni Mratibu wa mashindano Shaffih Dauda, Mdhamini wa mashindano Dk. Juma Mwaka, Ruge Mutahaba na Ibrahim Masoud 'Maestro' 10408076_836086479788632_905767488845041078_n SSSSMpambano kati ya Tabata FC na Black Six ukiendelea kwenye uwanja wa BANDARI maeneo ya Tandika Mwembe YANGA ukiendelea...... 10733956_836086126455334_5963849990886177857_n 10801481_836086163121997_8396042177401085177_n

No comments:

Post a Comment

Pages