HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 15, 2014

Maximo atimuliwa, Hamis Tambwe asaini Yanga

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Marcio Maximo wakati wa mechi ya Nani Mtani Jembe.

Habari tulizozipata sasa hivi zinasema aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu yake Mpya ya Yanga huku kocha mkuu wa timu hiyo Marco Maximo kibarua chake kikiota nyasi baada ya kutimuliwa. Habari kamili zitawajia kadri tutakavyokuwa tukizipata.

No comments:

Post a Comment

Pages