HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 22, 2015

BAADA YA KUAPISHWA NA WAKILI WAKE, ATIMAYE MANISPAA YA ILALA YAMWAPISHA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA SEGEREA

Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha Wenyeviti wateule wa serikali za Mitaa wa Migombani na Minazi Mirefu katika Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam, Japheth Kembo (Chadema) na Ubaya Chuma (CCM), katika zoezi la kuwaapisha rasmi baada ya mgogoro wa muda mrefu, lililofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha Wenyeviti wateule wa serikali za Mitaa wa Migombani na Minazi Mirefu katika Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam, Japheth Kembo (Chadema) na Ubaya Chuma (CCM), katika zoezi la kuwaapisha rasmi baada ya mgogoro wa muda mrefu, lililofanyika jijini Dar es Salaam. 
Japheth Kembo (Chadema) na Ubaya Chuma (CCM), wakila kiapo.
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha wajumbe wateule wa serikali za mitaa.
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha wajumbe wateule wa serikali za mitaa.
Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya zoezi la kuwaapisha wenyeviti wa mitaa ya (kushoto), akiwaapisha wajumbe wateule wa serikali za mitaa Migombani na Minazi Mirefu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti mteule wa mtaa wa Migombani Kata ya Segerea, Japheth Kembo (wa pili kushoto), akitoka katika ofisi za Manispaa ya Ilala mara baada ya kuapishwa rasmi leo.
Mwenyekiti wa mtaa wa Migombani Kata ya Segerea, Japheth Kembo (Chadema) katikati akiwa na wajumbe wake mara baada ya kuapishwa.

Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM),  wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.
Askari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea.

No comments:

Post a Comment

Pages