HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 27, 2015

POLISI WAZIMA MAANDAMANO YA AMANI YA CUF

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (katikati) akiwa amewekewa ulinzi na wafuasi wa chama hicho wakati Polisi walipozuia maandamano ya amani yaliyokuwa yafanyike leo kuanzia Temeke Hospitali hadi Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwapungia mkono wafuasi wake mara baada ya Polisi kuyasambaratisha  maandamano ya amani ya chama hicho yaliyokuwa na lengo la kuwakumbuka wanachama wenzao, walioteswa na kuuawa kwa kipigo cha Polisi huko Zanzibar Januari 27 mwaka 2001.  
Haki......
Walinzi maalum wa CUF wakiwa wameimarisha ulinzi katika gari alilopanda Mwenyekiti wa chama hicho.
Polisi wakizuia maandamano ya CUF katika eneo la Mtoni.
Mlinzi wa Prof. Ibrahim Lipumba akizozana na askari wa kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) wakati walipota kumkamata bosi wake.
Prof. Lipumba akiwa katika gari la Polisi
Mfuasi wa CUF akiwa chini ya ulinzi.
Prof. Lipumba akizungumza na maofuisa wa Polisi.

Prof. Lipumba akizungumza na maofuisa wa Polisi.

No comments:

Post a Comment

Pages