HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 21, 2015

CUF WAZINDUA KAMATI ZA UCHAGUZI

 Wanachama na wapenzi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar leo wakati wa Uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi za chama hicho. (Picha na Francis Dande)
 Tunaandamana kwa amani-
 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na wanachama wa chama hicho leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar.
 Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi za chama hicho.
 Maalim Seif Sharif hamad akisalimiana na viongozi wa chama hicho.
 Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi za chama hicho.
 Maalim Seif akifafanua jambo.
 Wanachama na CUF wakiwa katika mkutano huo.
Tunasikiliza.......

No comments:

Post a Comment

Pages