HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 01, 2015

JK AONGOZA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi alipowasili katika Uwanja wa Maji Maji mjini Songea kuongoza wananchi katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM. Picha na Bashir Nkoromo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride maalum la Chipukizi wa CCM, lililoandaliwa katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM kwenye Uwanja was Maji Maji mjini Songea. 

No comments:

Post a Comment

Pages