HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 31, 2015

ASKOFU GWAJIMA APATA DHAMANA

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima akiingizwa katika gari wakati akitoka katika hospitali ya TMJ na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kwa ajili ya kupewa dhamana ambapo alitakiwa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Kati April 2 (Picha na Asha Bani)

Askofu Gwajima.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima akiwa katika wheelchair.

No comments:

Post a Comment

Pages