HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 30, 2015

TAIFA STARS 1 vs 1 MALAWI, SAMATTA AIOKOA STARS CCM KIRUMBA MWANZA




Viongozi mbalimbali waliojitokeza katika Mpambano huo wa Taifa Stars na Malawi CCM Kirumba Jijini Mwanza. (Picha na Faustine Ruta)

Timu zote mbili kwenye mstari tayari kwa kuanza kipute

Kikosi cha Malawi baada wimbo wao wa Taifa kumalizika kuimbwa.

Kikosi cha Taifa Stars kikiimba wimbo wa Taifa
Timu zikisalimiana

Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza

Waamuzi wa mchezo huo.

Kikosi cha Malawi.

Manahodha wa timu zote wakibadilishana bendera.

Picha ya Pamoja.Bao 1-0 dakika ya tatu tu Malawi walipata bao kupitia kwa Esau Kanyenda baada ya mapeki wa Stars kujichanganya
Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0.

Mchezaji wa Malawi akimiliki mpiraHatari!

Taifa Stars 0-1 Malawi dakika ya 3 mapema Malawi walishachafua ubao

Kipa wa Malawi akiondosha mpira langoni mwake


Pisha!

Fundi!

Kipa wa Malawi akiondosha mpira kwa kuupangua kutoka eneo la hatari

Mashabiki waliingia kwa wingi leo CCM Kirumba

Mashabiki jukwaa kuu

Meza Kuu Rais wa Tff Bw. Jamal Malinzi nae alikuwepo kushuhudia kipute!
Nyomi
Katikati ni Bw. Abdrazack kutoka Mjini Bukoba/Kasibante 88.5 FM Radio akitangaza live mpira huo kutoka CCM Kirumba Jijini Mwanza
Mashabiki waliingia kwa wingi





Mpaka mapumziko Stars ilikuwa nyuma ya 1-0

Waamuzi wakitoka kwenda kupumzika wakati wa mapumziko dakika chache
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Stars, Mart Nooij akiteta jambo na Kiongozi wa soka wakati wa mapumziko baada ya dakika 45 kupita, wakiteta jinsi ya kupangua na kuweza kusawazisha na hatimae ushindi!!


Muuaji wa bao la Malawi Essau kanyenda wakati wa mapumziko

Yale yale Ngassa na wenzake wakitoka Uwanjani kwenda kujumuika na kusikia neno kutoka kwa kocha mkuu Mart Nooij nini kinafanyika kipindi cha pili.

Patashika kwenye lango la Malawi kipindi cha pili
Mbwana Ally Samatta akishangilia bao lake.

Asante baba!! Samatta akipongezwa

Shabiki akifanya mbwembwe zake baada ya Taifa Stars kusawazisha bao1-1

Samatta akipongezwa.

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakipongezana.

No comments:

Post a Comment

Pages