HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 30, 2015

UZINDUZI WA CHAMA CHA ACT KATIKA PICHA

Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT), Zitto Kabwe akitabasamu wakati wa uzinduzi wa chama hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa ACT, Anastazia Mgwira. (Picha na Loveness Bernard)  
Katibu Mkuu wa chama cha ACT, Samson Mwaigamba (Katikati) akiwa baadhi ya wanachama wa chama hicho.
Wanachama wakiwa katika uzinduzi wa chama hicho.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT), Zitto Kabwe (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Anastazia Mgwira (kushoto).

Mwenyekiti wa chama hicho, Anastazia Mgwira akitoa hotuba yake.
  Zitto Kabwe akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa chama cha ACT.
Salam kwa wanachama.
 Wimbo wa taifa.
Kiongozi Mkuu, Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, chama hicho, Anastazia Mgwira
Zitto akicheza muziki wakati wa uzinduzi wa chama cha ACT.

No comments:

Post a Comment

Pages