HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2015

DC MAKONDA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.
 DC Makonda akizungumza na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni na wakata ya Wazo kuhusu mgogoro huo.
  DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Frank Kalinga na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Kuruthum Kazema.
 Diwani wa Kata hiyo, John Mome akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ili azungumze na wananchi.
 Ofisa Tarafa wa Kawe, Nicodemus Shirika akizungumza katika mkutano huo.
 Mkazi wa mtaa huo, Kauli Kibiriti akitoa ya moyoni kwenye mkutano kuhusu mgogoro wa ardhi.
 Bibi Rosemary Mkasa akitoa historia ya maeneo hayo ya ardhi yanayogombaniwa.
 Mkazi wa eneo hilo, Philipina Uledi naye akitoa ya moyoni kuhusu mgogoro huo.
 Wananchi wa mtaa huo wakiwa kwenye mkutano huo
 Mkutano ukiendelea.
Wananchi wakishangilia wakati DC Makonda akizungumza nao ili kupata muafaka wa mgogoro huo uliodumu kwa muda mrefu. (Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/

No comments:

Post a Comment

Pages