HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2015

MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO, MWANZA

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mwanza kwenye viwanja vya Furahisha jijini humo. (Picha na Said Powa)

 Umati wa watu ukiwa katika mkutano wa ACT-Wazalendo.

2 comments:

  1. safi sana zito kabwe

    ReplyDelete
  2. Zito upo juu sana, akili ya mbowe, slaa, mnyika, tundu lissu ukichanganya lema na marando, hawakufiki hata kidogo na wasubiri kichapo cha october,2015 huku mtaani

    ReplyDelete

Pages