HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 04, 2015

REBECCA MALOPE ATUA DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (kulia) akiwa na mwimbaji nyota wa nyimbo za injili kutoka Aftrika ya Kusini Rebecca Malope (kushoto) ambaye ameambatana na mume wake, Themba Tshabalala (katikati) wakati walipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Rebecca Malope akionyesha furaha yake baada ya kuwasili katika hoteli ya Serena.
Rebecca na Tshabalala wakigonganisha glasi kutakiana afya njema.
 Mwimbaji nyota wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini Rebecca Malope (kushoto) akigonganisha glasi na mume wake, Themba Tshabalala kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Rebecca Malope akiwa na mume wake.
Hudson (kushoto) akigonganisha glasi na Rebecca Malope pamoja na Themba Tshabalala ambaye ni mume waRebecca.

No comments:

Post a Comment

Pages