HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2015

SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MUUNGANO ZAFANA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Rais mstaafu za Zanzibar, Abeid Aman Karume wakati wa sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 Mamia wa watu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 Makamu wa Rais, Moghamed Gharib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais mstaafu wa Zanzibar, Abeid Aman Karume.
Mwenyekiti wa TLP, Agustino Lyatonga Mrema akiwa ni miongoni mwa watu waliohudhuria sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofika katika sherehe hizo.

Rais Kikwete akikagua gwaride rasmi.
 Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
 Askari wa JWTZ wakipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Vikosi vya ulinzi vikipita na vifaa vya mawasiliano wakati wa vita.

Watoto wa halaiki wakionyesha umahiri wa kucheza sarakasi wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

 Watoto wa halaiki wakionyesha umahiri wao.
Kikundi cha ngomz kikitumbuiza.
 Ngoma.
 Watu waliohudhuria sherehe hizo.
Kwaya kutoka Chunya mkoani Mbeya ikitumbuiza kwa nyimbo za injili.
 Wasanii kutoka vikosi vya ulinzi na usalama wakiimba.
Msafara wa rais Jakaya Kikwete ukiondoka.

No comments:

Post a Comment

Pages