HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2015

WAZIRI WA NCHI KUKUTANA NA VIONGOZI WA WALEMAVU WA NGOZI

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisikiliza kwa makini hoja kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sera Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Joyce Momburi (hayupo pichani) wakati wa Kikao cha Pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (AKUAT) Ofisini kwake Aprili 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwa na Viongozi wa Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi walipomtembelea Ofisini kwake Aprili 24, 2015 kuzungumza masuala ya msingi yanayohusu ulinzi na usalama.

No comments:

Post a Comment

Pages