HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 01, 2015

BENKI YA DTB MABINGWA KOMBE LA MAEI MOSI DAR


Hatari katika lango la NSSF. (Picha zote na Francis Dande)
Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB, Kelvin Chale (kushoto) akimtoka James Godfrey wakati wa mchezo wa fainali ya michezo ya Bonanza la Makampuni katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi.
Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB, Kelvin Chale (kushoto) akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa NSSF wakati wa mchezo wa fainali ya michezo ya Bonanza la Makampuni katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi.
Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB, Kelvin Chale (kushoto) akichuana na kiungo wa NSSF, Paul Peter wakati wa mchezo wa fainali ya michezo ya Bonanza la Makampuni katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi.
Kiungo wa timu ya NSSF, Mohamed Mahmoud (kulia) akichuana na Paul Peter wa Benki ya DTB.
Nahodha wa timu ya DTB, Kelvin Chale akipokea kombe kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Megatrade, Albert Kingu baada ya kuifunga NSSF kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali.
Wachezaji wa timu ya Benki ya DTB wakishangilia baada na kombe lao.
Mabingwa wa michuano ya Bonanza la Makampuni timu ya Benki ya DTB wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages