HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 06, 2015

BENKI YA POSTA YATOA HUDUMA KWA UMAKINI MAONESHO YA SABASABA


 Wateja wakipatiwa Huduma katika Banda la Benki ya Posta.
 BAADHI ya Wananchi wakikodolea macho huduma zinazotolewa na Benki ya Posta.
 WAKIJISAJILI kuwa na akaunti katika Benki hiyo.
 WAKIJISAJILI kuwa wateja katika Benki hiyo.
MAOFISA  Mauzo wa Benki ya Posta,Olida Mwakunja (wa tatu kushoto) na Wistone Daniel (wa pili kulia) wakitoa huduma kwa wateja waliofika katika Banda kwenye Uwanja wa Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa.
 AFISA wa Benki hiyo akiwa na furaha kwa wateja baada ya kuwahudumia watteja.
 MAAFISA wa benki hiyo  wakimpa maelekezo mteja kutoka Masasi ambaye yupo katika maonesho.
  MAAFISA wa benki hiyo  wakimpa maelekezo mteja kutoka Masasi ambaye yupo katika maonesho
MAOFISA  Mauzo wa Benki ya Posta,Olida Mwakunja (wa pili kushoto) na Wistone Daniel (wa pili kulia) wakitoa huduma kwa wateja waliofika katika Banda kwenye Uwanja wa Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa.

No comments:

Post a Comment

Pages