HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 22, 2015

BREAKING NEWS: WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA UKAWA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na UKAWA ambao ni Muungano wa vyama vya siasa vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, leo mchana. (Na Dotto Mwaibale) 
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam, baada ya kujiunga na UKAWA. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
 Sumaye akisisitiza jambo.
Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba (UKAWA) baada ya kuondoka CCM.

No comments:

Post a Comment

Pages