HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

August 04, 2015

MAMIA WAJITOKEZA DK. MAGUFULI AKICHUKUA FOMU YA URAIS

Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wakianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu ya kugombea urais Tume ya Taifa ya Uchaguzi. (Picha na Francis Dande)
Makada wa CCM wakiongonzwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu wa Itikati na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye wakimsindikiza kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais akiambatana na Makamu wake Samia Suluhu Hassan.
 Dk. John Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kabla ya kukabidhiwa fomu ya kugombea urais.
Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Adam Nyando akimkabidhi mkopa wenye fomu za kugombea Urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli. Kulia ni mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan.
 Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Magufuli akiwa na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan baada ya kukabidhiwa mkopo wenye fomu za kugombea urais.
 Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Adam Nyando akimkabidhi mkopa wenye fomu za kugombea Urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli. Kulia ni mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan.
Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan wakionyesha fomu walizokabidhiwa na Tume ya Uchaguzi.
 Msafara wa Dk. John Magufuli ukianza safari ya kuelekea Ofisi Ndogo za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wakiwapungia mikono wananchi waliojitokeza kandokando ya barabara ya Bibi Titi wakati akielekea Ofisi Ndogo za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba Dar es Salaam.

 Mgombea Urais Dk. John Magufuli akiwa na mgombea mwenza wakiwaonyesha mkoba uliokuwa na fomu za kugombea urais mamia ya wananchi waliojitokeza katika Ofisi za Chama Lumumba Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. 
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wanacahama na wapenzi wa CCM waliojitokeza katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Mgombea Mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM waliofurika katika Ofisi za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba Dar es Salaam.
 Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM waliomsindikiza hadi Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea urais.

No comments:

Post a Comment

Pages