HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 15, 2015

MAPOKEZI YA LOWASSA MBEYA YAVUNJA REKODI


Kikosi maalum cha ulinzi kikiwa kimeimarisha ulinzi wakati wa mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa akiwasili jijini Mbeya.
 Msururu wa magarikutoka kila kona ukiingia jijini Mbeya.
 Umati wa maelfu ya watu ukiwa katika mkutano wa Ukawa Mbeya.
Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi akizungumza katika mkutano wa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa jijini Mbeya.
 Umati wa watu wakiwa katika mkutano huo.
 Umati wa watu ukiwasikiliza viongozi wa UKAWA katika mkutano wa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa kusaka wadhamini katika jiji la Mbeya.
 Ni shiida. 
 Askari Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi katika mkutano huo.
Kikosi maalum cha ulinzi kikiwa kimeimarisha ulinzi wakati msafara wa mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema, Edward Lowassa ukiwasili jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages