HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 04, 2015

LOWASSA AFANYA MKUTANO KATESH MKOANI MANYARA LEO

 Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye(kulia), akiwa na Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono la vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makondeko  wilayani Kateshi mkoani Manyara.
 Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono la vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makondeko  wilayani Kateshi mkoani Manyara.
 Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono la vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makondeko  wilayani Kateshi mkoani Manyara.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Katesh Idd Kitiyanga, akionyesha kadi ya Chadema baada kukabidhi ya CCM kwa Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono la vyama vya Ukawa, Edward Lowassa katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makondeko  wilayani Kateshi mkoani Manyara
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono la vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akivalishwa vazi la kimila na wazee wa kabila la Kimasai katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Makondeko  wilayani Kateshi mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment

Pages