HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 06, 2015

STARS YAAHIDI USHINDI DHIDI YA MALAWI

 Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Malawi utakaofanyika Oktoba 7 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Wachezaji wa Stars wakiwa mazoezini leo.
 Kocha wa Taifa Stars, Charles Mkwasa (kulia) akiongea na wandishi wa habari kuhusu mchezo wa leo wa kutafuta kufuzu fainali za dunia dhidi ya Malawi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa. Kusho ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya  Malawi, Ramadhan Nsangurwino.

No comments:

Post a Comment

Pages