HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 07, 2015

TANZANIA YAIFUNGA MALAWI 2-0

 Mbwana Samata akiwatoka wachezaji wa Malawi katika mchezo wa kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia.
 Thomas Ulimwengu akiwatoka wachezaji wa Malawi.
 Mshambuliaji wa Staifa Stars, Mbwana Samata akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Malawi.
 Farid Musa akitafunta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Malawi.
 Mshambuliaji wa Stars, Mbwana Samata (katikati) akiwa chini katika harakati za kufunga goli. 
 Beki wa Stars, Haji Mngwali akimiliki mpira wakati timu hiyo ilipopambana na Malawi.
 Mshambuliaji wa pembeni wa Stars, Farid Musa akichuana na beki wa Malawi, Mivale Gabeya.
Golikipa wa Taifa Stars, Ally Mustafa akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Wachezaji wa Stars wakishangilia goli la kwanza la timu hiyo.
Furaha ya ushindi.
Mashabiki wa soka wakipiga picha na nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Canavaro’ baada ya kumalizika kwa mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Malawi, uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Stars ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande). 

No comments:

Post a Comment

Pages