HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 24, 2015

Dk.marwa akanusha uvumi kuhusiana na Rozela haifai kwa binadamu

TUNAOMBA RADHI KWA HABARI ILIYOTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII YA MICHUZI BLOG, MO BLOG NA NICCOMEDIATZ BLOG ITAYOHUSU MMEA WA ROZELA HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU ILIKUWA SIO SAHIHI

Sampuli iliyochunguzwa na Mkemia mkuu wa serikali Lab no. 241|2013 kwa jina la Tanzaone Red Jea Juice ndio iliyo chunguzwa na kuonekana kuwa haifai kwa matumizi ya binadamu na haina uhusiano wowote na Rozera na matumizi yake.
Akizungumza na waandishi wa habari Tabibu Mkuu wa Tanzaone  Dk.Marwa aliwaomba radhi wakala wa mkemia mkuu wa Serikali, watanzania wote na serikari kwa usumbufu walioupata kuhusu nukuu potofu ya habari kuhusu mmea wa Rozela kuwa haufai kwa bianamu.
Hata hivyo amesema Dawa Tanzaone Life Cell Cream kwa matumizi ya uzazi kwa akina  mama na Tanzaone Antviral kwa wongojwa wa HIV zilizo chunguzwa na mkemia mkuu zilionyesha kuwa zinafaa kwa matumizi ya binadamu.

Imetolewa na Tabibu-Mkuu wa Tanzania Herbal Clinic (Tanzaone) Marwa Ndege Gonzaga  Tel:0755 360508 -0715 360508

No comments:

Post a Comment

Pages