HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 22, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI DAR AKITOKEA DODOMA

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea shada la maua kutoka kwa Immaculata Warqaso wa Ofisi ya Waziri  baada ya kuwasili kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Novemba 22, 2015 wakitoka Dodoma.Wapili kulia ni Katibu Mkuuwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florence Turuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages