HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 02, 2015

DAR EXPRESS YAINGIZA MABASI YA KISASA AINA YA VIAGGIO 1050 G7

 Mabasi ya kisasa ya Kampuni ya Dar Express aina ya Scania Viaggio 1050 G7, yakiwa katika ofisi za Scania, Pugu Road kabla ya kuzinduliwa rasmi.
 Mkurugenzi Mkuu wa Scania Tanzania, Anders Friberg wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabasi ya kisasa ya Dar Express aina ya Scania Viaggio 1050 G7 uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam akizungumza katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Dar Express, Yudika Mremi (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabasi ya kisasa aina ya Scania Viaggio 1050 G7, uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi Mkuu wa Dar Express, Yudika Mremi (wa pili kushoto) akikata utepe na Mkurugenzi Mkuu wa Scania Tanzania, Anders Friberg wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabasi ya kisasa ya Dar Express aina ya Scania Viaggio 1050 G7, uliofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Scania Tanzania, Jerome Sentimea.
 kMkurugenzi Mkuu wa Dar Express, Yudika Mremi (wa pili kushoto) akikata utepe na Mkurugenzi Mkuu wa Scania Tanzania, Anders Friberg wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabasi ya kisasa ya Dar Express aina ya Scania Viaggio 1050 G7, uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Scania Tanzania, Jerome Sentimea.
Mkurugenzi Mkuu wa Dar Express, Yudika Mremi (kushoto) akipokea funguo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Scania Tanzania, Anders Friberg wakati wa hafla ya uzinduzi wa mabasi ya kisasa ya Dar Express aina ya Scania Viaggio 1050 G7 uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages