HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 11, 2016

MASHINDANO YA NGUMI YA KLABU BINGWA TAIFA YAENDELEA DAR

Bondia Gilbert Lyeru kutoka Iringa akipokea kipigo kutoka kwa Maneno Othuman wa Tabora katika pambano la robo fainali ya Klabu Bingwa ya Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Tanganyika Peckers jijini Dar es Salaam, hata hivyo Gilbert alishinda kwa pointi. (Picha na Francis Dande)
Mdau wa ngumi, Zuena Kipingu akifungua mashindano ya ngumi ya Klabu Bingwa ya Taifa katika hatua ya robo fainali kwenye viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais wa Shirikisho la ngumi za Riadhaa Tanzania (BFT), Mutta Rwakatare na Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga. 
 Mashabiki wa ngumi wakiangalia mapambano yaliyokuwa yakiendelea.

No comments:

Post a Comment

Pages