HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 25, 2016

RUSHWA YA MILIONI 50 YAMFIKISHA MAHAKAMANI MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA UDALALI YA YONO PAMOJA NA MFANYAKAZI WA TRA

 Watuhumiwa wa kesi ya kujihusisha na rushwa ya Shilingi Milioni 50 kutoka Kampuni ya Glenn Glarke, Edward Magobela (mbele) ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart akiwa na mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Mkwizu wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages