HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 29, 2016

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA

 Timu ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF inayoshiriki  Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa 'Saba Saba' ikiwa ndani ya banda nadhifu ambapo huduma mbalimbali zinatolewa kwa wanachama na wadau mbalimbali wa Mfuko.
 Banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF likionekana kwa nje likiwa na unadhifu wa hali ya juu, mbele ya banda ni timu ya maofisa wa LAPF wakiwa tayari kuhudumia wageni wote wanaofika katika banda la Mfuko kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa.
 Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya banda nadhifu la Mfuko huo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa.
 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sababu za ushiriki wa Mfuko katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa.

Afisa Mifumo ya kompyuta kutoka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili akitoa maelezo kwa mwanachama wa Mfuko pamoja na kumpatia taarifa ya michango yake mara baada ya mwanachama huyo kutembelea banda ya Mfuko kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa.

No comments:

Post a Comment

Pages