HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 20, 2016

NAIBU SPIKA AMTEMBELEA MTOTO WA MBUNGE WA MKURANGA

Naibu Spika Dk. Tulia Ackson akimsalimia mke wa mbunge wa Mkuranga Abdalla Ulega aitwae Mariam Abdallah alipofika kumpongeza kujifungua mtoto wa kike na kumpa jina la Naibu Spika huyo. (Picha na Loveness Bernard)
Naibu Spika Dr Tulia Ackson akiwa amembeba mtoto wa mbunge wa Mkuranga  aitwae Tulia Abdallah Ulega  katika hospitari ya mhimbili jijini Dar es Salaam.
 Naibu Spika akizungumza na waadishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages