HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2016

MAFUNZO YA UKOCHA MBIO ZA MASHUA YAFUNGWA DAR

 Washiriki wa Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Mashua (SAILING), wakiwa na vyeti vyao mara baada ya kumaliza kozi yao jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni viongozi kutoka Kamati ya Olimpiki Tanzania, chama cha mchezo huo (TSAA), na mkufunzi wa Kozi hiyo, Rob Holden kutoka Afrika Kusini.
Makocha wa kozi hiyo wakiwa katika mafunzo kwa vitendo. 
Katibu Mkuu wa TOC, Filbert Bayi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa mkufunzi wa kozi hiyo, Rob Holden.

No comments:

Post a Comment

Pages